Call: +25522-2150156 | E-mail: infor@umati.or.tz

YAM online Registration

Ungana na YAM, Bonyeza hapa kupakua fomu ya YAM, au Jaza fomu iliyochini kujiunga na YAM

MAELEZO YA KUJIUNGA UANACHAMA WA HARAKATI ZA VIJANA KWA VITENDO YAANI (YAM)

  1. KUJIUNGA NA MTANDAO HUU NI HIARI KABISA
  2. UMRI WA MWANACHAMA UNATAKIWA UWE KATI YA MIAKA 10-24
  3. JINSIA YOYOTE (KE AU ME)
  4. KUMBUKA NI MTANDAO WA KUJITOLEA KABISA NA SI AJIRA
  5. HAKUNA MALIPO YOYOTE AMBAYO MWANACHAMA ANATAKIWA KUTOA MPAKA ITAKAPOAMULIWA VINGINEVYO
  6. MWANACHAMA ATAPEWA MUONGOZO WA NAMNA YA KUSHIRIKI KATIKA HARAKATI HIZI
  7. MWANACHAMA UKIJIUNGA UNATAKIWA KUWA NA MAWASILIANO MAALUMU
  8. MWANACHAMA ATAPIMWA KWA AHADI YAKE 

 

Style Selector

Layout Style

Predefined Colors

Background Image